Close Menu
Msomi BoraMsomi Bora
    Msomi BoraMsomi Bora
    Button Login
    • HOME
    • NOTES
    • PAST PAPERS
    • BOOKS
    • OTHERS
    • KENYA
    • CONTACT US
    Msomi BoraMsomi Bora
    • HOME
    • NOTES
    • PAST PAPERS
    • BOOKS
    • OTHERS
    • KENYA
    • CONTACT US
    Home»Chuo Tips»Kama Hujachaguliwa Chuo Kikuu Awamu Ya Kwanza – Nini Ufanye Sasa? Tazama Hapa
    Chuo Tips

    Kama Hujachaguliwa Chuo Kikuu Awamu Ya Kwanza – Nini Ufanye Sasa? Tazama Hapa

    Msomi BoraBy Msomi BoraSeptember 9, 2026Updated:September 9, 20261 Min Read
    Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp VKontakte Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Kama Hujachaguliwa Chuo Kikuu Awamu Ya Kwanza – Nini Ufanye Sasa? Je, Ujichagulie Kozi Yoyote Ile, ili mradi Uchaguliwe katika Awamu ya Pili?

    JOIN US WHATSAPP CLICK HERE
    JOIN US TELEGRAM CLICK HERE

    Moja ya vitu ambavyo sio vya kuchezea hapa Duniani basi ni Uchaguzi wa Kozi ya kusoma Chuo Kikuu. Ni kweli umekosa kuchaguliwa lakini usikubali kufanya maamuzi ambayo yatagharimu maisha yako kwa muda mrefu. Tafadhali, usijichagulie Kozi yoyote ili mradi tu uende tu uende Chuo Kikuu.

    Kama una mpango wa kuchagua mara ya pili ili kujaribu bahati yako, basi hakikisha unalenga Vyuo ambavyo havina ushindani mkali katika kuchaguliwa na wanafunzi wengi, na pia epuka Vyuo vyenye majina makubwa makubwa.

    Kama kwenu uwezo unaruhusu, basi chagua Vyuo vya Private maana wanafunzi wengi huepuka hivi vyuo kutokana na gharama, hali ambayo hupelekea kupatikana nafasi.

    Unaweza pia ukasoma Diploma ya hiyo Kozi kuliko kuchagua Degree yoyote na isikusaidia kitu. Zipo Diploma ambazo zina faida sana kuliko hata Degree fulani fulani.

    Au kama vipi, basi subiria mwakani ujaribu tena bahati yako, lakini sio kujichagulia kozi yoyote ile.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleFood and Human Nutrition for Ordinary Level – Full Notes (Form 1, 2, 3, 4)
    Next Article Je, Unaweza Kubadilisha Kozi Ukifika Chuo Kikuu? – Tazama Hapa
    Msomi Bora
    • Website

    Related Posts

    Je, Unaweza Kubadilisha Kozi Ukifika Chuo Kikuu? – Tazama Hapa

    September 9, 2026

    Je, Ukisoma Shule za Private, Unapata Mkopo au Haupati?

    July 20, 2026

    NACTVET – Kitabu cha Muongozo wa Kuchagua Kozi | Admission Guidebook for Certificates and Diplomas 2026/2027

    July 15, 2026

    Link za Vyuo Vikuu vyote – Tuma Maombi Yako | Admission Link for University application 2026/2027

    July 15, 2026

    TCU – Kitabu cha Muongozo wa Kuchagua Kozi | Admission Guidebook for Bachelor’s Degree 2026/2027

    July 15, 2026

    Kozi zenye Kipaumbele Kikubwa cha Kupata Mkopo – Hapa Serikali Haichomoki

    July 13, 2026

    Mambo Muhimu ya Kuzingatia kabla Hujachagua Kozi ya Kusoma Chuo Kikuu

    July 13, 2026

    Kozi Zenye Wakaka Wazuri na Warefu | Maajabu Vyuo Vikuu

    July 13, 2026

    Kozi Zenye Warembo Wengi na Visura | Maajabu Vyuo Vikuu

    July 13, 2026

    Vyuo Vikuu Vinavyoongoza kwa Rushwa ya Ngono hapa Tanzania

    July 13, 2026
    Clickable WP Image
    • Complaints
    • CONTACT US
    © 2026 Copyright. All Rights are Reserved. Msomi Bora.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.

    Sign In or Register

    Welcome Back!

    Login to your account below.

    Lost password?