Close Menu
Msomi BoraMsomi Bora
    Msomi BoraMsomi Bora
    Button Login
    • HOME
    • NOTES
    • PAST PAPERS
    • BOOKS
    • OTHERS
    • KENYA
    • CONTACT US
    Msomi BoraMsomi Bora
    • HOME
    • NOTES
    • PAST PAPERS
    • BOOKS
    • OTHERS
    • KENYA
    • CONTACT US
    Home»Chuo Tips»Kozi Zenye Warembo Wengi na Visura | Maajabu Vyuo Vikuu
    Chuo Tips

    Kozi Zenye Warembo Wengi na Visura | Maajabu Vyuo Vikuu

    Msomi BoraBy Msomi BoraJuly 13, 2026Updated:July 20, 20261 Min Read
    Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp VKontakte Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Degree Zenye Warembo Wengi na Visura | Maajabu Vyuo Vikuu

    JOIN US WHATSAPP CLICK HERE
    JOIN US TELEGRAM CLICK HERE

    Kuna kozi zipo Vyuo Vikuu yaani ni kama zinafanana na hao wanaosoma hizo Kozi. Tumekuletea Kozi ambazo zina Wasichana warembo mno ukilinganisha na kozi zingine

    Tazama hizi Kozi kisha utupe maoni yako

    1. Utalii (Tourism)

    2. Habari (Journalism and Mass Communication)

    3. Sayansi ya Jamii (Sociology)

    4. Saikolojia (Psychology)

    5. Ualimu (Bachelor of Education): Huchukua idadi kubwa zaidi ya wanafunzi wa kike. Inapatikana katika vyuo vingi kama vile Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

    6. Sayansi ya Afya na Uuguzi: Hapa utawakuta warembo wengi wanaosomea udaktari, maabara, na hasa uuguzi. Vyuo vinavyoongoza ni pamoja na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).

    7. Sheria (Bachelor of Laws – LLB): Kozi hii huvutia wanawake wengi wanaopenda taaluma za utetezi. Inapatikana UDSM na Chuo Kikuu cha Tumaini (Tumaini Makumira).

    8. Utawala wa Biashara (Business Administration)

    9. Rasilimali Watu (Human Resource)

    10. Mahusiano ya Umma (Public Relations)

    ..

    ..

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr WhatsApp Email
    Previous ArticleVyuo Vikuu Vinavyoongoza kwa Rushwa ya Ngono hapa Tanzania
    Next Article Kozi Zenye Wakaka Wazuri na Warefu | Maajabu Vyuo Vikuu
    Msomi Bora
    • Website

    Related Posts

    Je, Unaweza Kubadilisha Kozi Ukifika Chuo Kikuu? – Tazama Hapa

    September 9, 2026

    Kama Hujachaguliwa Chuo Kikuu Awamu Ya Kwanza – Nini Ufanye Sasa? Tazama Hapa

    September 9, 2026

    Je, Ukisoma Shule za Private, Unapata Mkopo au Haupati?

    July 20, 2026

    NACTVET – Kitabu cha Muongozo wa Kuchagua Kozi | Admission Guidebook for Certificates and Diplomas 2026/2027

    July 15, 2026

    Link za Vyuo Vikuu vyote – Tuma Maombi Yako | Admission Link for University application 2026/2027

    July 15, 2026

    TCU – Kitabu cha Muongozo wa Kuchagua Kozi | Admission Guidebook for Bachelor’s Degree 2026/2027

    July 15, 2026

    Kozi zenye Kipaumbele Kikubwa cha Kupata Mkopo – Hapa Serikali Haichomoki

    July 13, 2026

    Mambo Muhimu ya Kuzingatia kabla Hujachagua Kozi ya Kusoma Chuo Kikuu

    July 13, 2026

    Kozi Zenye Wakaka Wazuri na Warefu | Maajabu Vyuo Vikuu

    July 13, 2026

    Vyuo Vikuu Vinavyoongoza kwa Rushwa ya Ngono hapa Tanzania

    July 13, 2026
    Clickable WP Image
    • Complaints
    • CONTACT US
    © 2026 Copyright. All Rights are Reserved. Msomi Bora.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.

    Sign In or Register

    Welcome Back!

    Login to your account below.

    Lost password?