TANGAZA SASA
Je, Ungependa Kutangaza Shule/Chuo/Center au chochote kile.
Tangazo litakaa kwenye Tovuti ambapo litaonekana kwa kila mtu (yaani juu kabisa, juu ya kila post au mbele kabisa chini ya Blog
Bei ni ndogo sana, na ni Maelewano pia. Hata kama pesa yako ni ndogo kiasi gani, bado tu utapata nafasi ya Tangazo.
Utachagua mwenyewe likae kwa Wiki au Mwezi.
Tangazo linapaswa kuwaje? Inaweza kuwa ni post (makala) inayoelezea biashara yako, au bango zuri (picha) likawekwa kwenye Tovuti na kuonekana vizuri kabisa kwa watu.
Tutakupa Maujanja katika Tangazo: Tangazo linahitaji mbinu au vitu fulani liweze kuwavutia watu na hatimaye waitafute huduma yako, sisi tutakupa hizo mbinu kwenye Tangazo lako.
Whatsapp ni Bure
Utawekewa bure Tangazo lako kwenye channel zetu za Whatsapp na Telegram kama endapo Tangazo lako litawekwa Msomi Bora Blog.
Njoo inbox, andika TANGAZA
Whatsapp, bonyeza tu hii namba +255719521710




Leave a Comment