Vyuo Vikuu Vinavyoongoza kwa Rushwa ya Ngono hapa Tanzania
JOIN US WHATSAPP CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM CLICK HERE
Chanzo: Mwananchi
Mmomonyoko wa maadili na matumizi mabaya ya madaraka, vimetajwa kuwa vyanzo vya kuwapo kwa rushwa kubwa ya ngono katika vyuo vikuu viwili nchini:
1. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
2. Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom).
Hayo yamebainika kufuatia utafiti uliofanywa na Mfuko wa Wanawake Tanzania (WFT) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) katika kipindi cha Januari na Februari mwaka huu.
Akielezea kwa kina matokeo ya utafiti huo, mwendesha mashitaka wa Takukuru, Denis Lakayo alisema kuwa utafiti huo ulihusisha wahojiwa 589, ambapo 352 walitoka UDSM na 237 kutoka Udom.
Soma zaidi, BONYEZA HAPA




Leave a Comment