Kozi Ambazo Hazina Ajira – Ukisoma Imekula Kwako
Sio kila Degree iliyopo Chuo Kikuu ukiisoma basi utapata ajira, kuna degree zingine soko lake lilikuwa kubwa enzi za Mwalimu Nyerere kipindi hicho Wasomi walikuwa wachache, kwahiyo yoyote tu aliyesoma chuo kikuu basi ni lazima tu angapata ajira wakati ule.
Epuka hizi Degree
Degree za Masomo – Kwa hapa Tanzania epuka sana kusoma Degree zinazobea kwenye Somo fulani, yaani yale masomo yanayofundishwa mashuleni primary na secondary. Ukiona degree imebobea kwenye Somo fulani basi hakikisha hapo kuna Ualimu (Education), na uone kabisa Education imeandikwa kwenye hilo jina la Degree, kama hakuna Ualimu basi achana na hiyo degree haraka sana. Sio rahisi ukaona Taasisi yoyote ya Serikali au binafsi inatangaza Ajira kwa Wasomi wenye hizo Degree.
Kuna Degree zinatajwa hazina Ajira nchini Kenya, kwa kuwa Tanzania na Kenya ni majirani na tunafanana mambo mengi, tazama hizi Degree na uchukue hatua kama vipi.
1. Chemical Engineering
2. Mass Media
3. Political Science
4. Sport Science
5. Psychology and Counselling
6. Theology
7. Criminology
8. Hospitality
9. Art courses
10. Physical Education
11. Anthropology
12. Library
13. Records Management
14. Animal Husbandry
15. Forestry
16. Meteorology
17. Environmental Science
18. Bachelor of Commerce (BCOM)
19. Masters of Business Administration (MBA)
..
..




Leave a Comment