Tangaza Shule hapa Msomi Bora – Ni bure kabisa
Msomi Bora tumeanzisha program maalum iitwayo “Shule Bora” ambayo imelenga kuzipromote Shule zote ambazo ni nzuri tu, lakini shule hizi sio maarufu sana kwa Watanzania wengi. Huenda Shule yako au yenu ikawa kwenye hili kundi.
“Avumaye baharini ni papa, na wengine nao wamo”
Elewa kwamba, sio wazazi wote wanapenda au wana uwezo wa kuwapeleka watoto wao kwenye shule kubwa kubwa, au zenye ufaulu mkubwa. Hata hiyo shule yako inaweza ikawavutia wazazi wengi tu, kikubwa tu iwe na mazingira mazuri ya kiusomaji na usalama kwa wanafunzi.
Shule hizi zitawekwa kwenye Tovuti yetu kwenye hii makala, na pia kwenye ukurasa wa mbele wa Tovuti (Front Page) ambapo watu wengi hutazama kila siku wanapoingia kusoma Msomi Bora. Baada ya Hapo Shule hizi zitabakia ndani ya Tovuti kwa miaka yote katika kipengele cha Shule Bora ambapo watu watakuwa wakiingia kutazama hizo Shule Bora.
Faida Utakazopata
- Shule yako itajulikana kwa watu wengi, na utapata wanafunzi wengi
- Shule yako itakuwa kitaaluma, maana shule itapokea wanafunzi kutoka sehemu mbalimbali wenye uwezo tofauti tofauti na mkubwa kimasomo.
- Shule yako itapatikana kwenye internet (Google) pale ambapo watu watakuwa wakijaribu kuitafuta ili wapate taarifa zake
Je, unataka Shule yako iingie kwenye hiki kipengele?
Bei ni 20,000 tu kwa sasa
Njoo Whatsapp moja kwa moja
Tutumie Ujumbe Whatsapp, andika “Shule Bora”
Kisha weka Jina la Shule, na Mkoa
Bonyeza hii namba +255763243437