Author: Msomi Bora

TOPIC 6: UANDISHI WA INSHA Uandishi Wa Insha Uandishi ni kitendo cha kupangilia maneno katika maandishi. Mada hii inazungumzia uandishi wa insha za wasifu kwa umahususi wake. Kabla ya kuanza uandishi utajifunza mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa katika uandishi wa insha kwa ujumla. Utaelewa muundo wa insha na mwisho utajifunza juu ya dhana ya insha ya wasifu na namna inavyoandikwa na mwisho kabisa utaangalia mfano wa insha ya wasifu. Insha za Wasifu Insha ya wasifu ni ile ya kutoa maelezo juu ya jinsi mtu au kitu kilivyo, tabia, vitendo na mandhari (sura ya mahali jinsi panavyoonekana). Mambo muhimu katika insha ya…

Read More

TOPIC 5: USIMULIZI Usimulizi ni jumla ya maelezo yanayotolewa na mtu au watu wengi kuhusu tukio fulani. Katika mada hii utajifunza juu ya taratibu za usimulizi wa matukio kupitia njia kuu mbili za masimulizi, yaani kwa njia ya mdomo au kwa njia ya maandishi. Pia utaweza kujifunza juu ya mbinu mbalimbali za usimulizi. USIMULIZI WA HADITHI Usimulizi hufanyika kwa njia kuu mbili yaani kwa njia ya maandishi na kwa njia ya masimulizi ya mdomo. Kila njia hutegemea namna msimuliaji anavyoweza kuwasiliana na msikilizaji. Ikiwa msimuliaji na msikilizaji hawakukaribiana, njia ambayo itatumika ni ile ya maandishi. Kwa mfano kama utahitaji kumweleza…

Read More

TOPIC 4: FASIHI SIMULIZI Fasihi simulizi ni moja kati ya tanzu za fasihi inayohifadhiwa na kurithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa njia ya mdomo. Katika mada hii utajifunza na kisha utaweza kubainisha tanzu na vipera vya fasihi simulizi pamoja na ufafanuzi wake. Na pia utaweza kutofautisha kati ya kipera na kipera au kati ya utanzu na utanzu. Tanzu za Fasihi Simulizi Fasihi Simulizi ni kazi ya fasihi inayohifadhiwa na kurithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa njia ya mdomo kama vile; hadithi, ngoma na vitendawili. Tanzu za Fasihi Simulizi ni pamoja na hizi zifuatazo: – Masimulizi/hadithi – Semi -…

Read More

TOPIC 3: FASIHI KWA UJUMLA Fasihi ni sanaa ya lugha inayoshughulikia masuala yanayomhusu binadamu matatizo yake, ndoto zake, matumaini yake, migogoro yake na jinsi anavyoingiliana na mazingira yake. (Wamitila, 2004). Fasili hii imejaribu kufafanua vizuri kile ambacho fasihi inajihusisha nacho, kimsingi fasihi inajihusisha na wanadamu. Vitu vya msingi tunavyoviona katika fasili hii ni kwamba fasihi ni sanaa, na fasihi inatumia lugha lakini zaidi fasihi inajihusisha na wanadamu. Dhima za Fasihi katika Jamii Dhima za fasihi katika jamii ni pamoja na hizi zifuatazo: 1. Kuburudisha jamii:Pamoja na mambo mengine fasihi inalenga kuburudisha jamii. Kupitia takribani vipera vyake vyote, fasihi huwa na…

Read More

TOPIC 2: AINA ZA MANENO Katika lugha ya Kiswahili kuna angalau aina nane za maneno ambazo wataalamu wengi wa lugha wanakubaliana hivyo. Katika mada hii utaweza kujifunza na kubainisha aina zote nane za maneno na jinsi zinvyotumika katika sentensi. Utaweza pia kujifunza namna ya kutofautisha aina za maneno ambazo zimeleta ubishi miongoni mwa wataalamu wengi hususani katika Viunganishi na Vihusishi. Aina Saba za Maneno ya Kiswahili Aina za maneno katika lugha ya Kiswahili ni pamoja na hizi zifuatazo: Aina…

Read More

TOPIC 1: MAWASILIANO Katika mada hii unatarajiwa kuelewa fasili ya mawasiliano na jinsi mchakato wa mawasiliano unavyofanyika. Utaelewa dhana ya lugha na vipengele muhimu vinavyokamilisha fasili ya lugha. Utaelewa dhima kuu za lugha, matumizi na umuhimu wake. Vilevile katika mada hii utajifunza juu ya lafudhi na matamshi mbalimbali ya watumiaji wa lugha ya Kiswahili. Lugha kama Chombo cha Mawasiliano Mawasiliano ni mchakato wa kuhawilisha taarifa kwa njia ya ubadilishanaji wa mawazo, hisia, malengo, tabia, matarajio, mitazamo kupitia mazungumzo, ishara na maandishi. Ni ubadilishanaji wa taarifa unaoleta maana baina ya pande mbili au zaidi ambazo zinaweza kuwa viumbe hai au kinyume…

Read More

EDUCATION BOOKS AND NOTES FOR UNIVERSITY/COLLEGE Click the links below to view and download the books/notes: EDUCATION PSYCHOLOGY Individual Differences Guidance and Counselling Movements in USA EDUCATION ASSESSMENT AND EVALUATION Basic Concepts in Measurement and Evaluation Educational Measurement and Evaluation Test Assembling, Administration and Analysis RESEARCH

Read More

TOPIC 7 POLITICAL AND ECONOMIC DEVELOPMENT IN TANZANIA SINCE INDEPENDENCE We have two types of notes for you Notes 1 and Notes 2 NOTES 1 In 1960, many African states began to achieve their political independence which generally has been referred as flag independence, despite the fact that African countries got their independence, still Africa remained indirect penetration of foreign domination, politically, socially, economically and militarily. Political independence had little impact on the life style of the masses that’s why it has been referred to as ceremonial independence or flag independence. The political independence was largely characterized with political, social and economic…

Read More

TOPIC 6 INFLUENCE OF EXTERNAL FORCES AND THE RISE OF NATIONALISM AND THE STRUGGLE FOR INDEPENDENCE We have two types of notes for you Notes 1 and Notes 2 NOTES 1 Nationalism can be defined as the desire for Africans to end all forms of foreign control and influence so as to be able too take charge of their political, social and economic affairs. Before 1960 most of Africa was still under colonial control. However, by 1970 most of Africa was independent of European colonialism. African nationalism is however, a product of colonialism in Africa. It is traced from colonial imposition in…

Read More