Saturday, March 24, 2018

Maelezo na Utaratibu wa Kupata Notes

Tags

Kutokana na maombi ya wasomaji wetu kuwa mengi kuhusu kupata au kuuziwa notes, Msomi Bora Team tumeamua kwamba tuwape wasomaji wetu kile wanachokipenda.

Na ukizingatia kwamba kuna baadhi ya masomo ya advanced level bado hayajawekwa mtandaoni, kwa hiyo siyo jambo la busara kuwasubirisha watu kwa muda wote huo hadi masomo hayo yatakapowekwa mtandaoni.

Notes zinauzwa kama ifuatavyo:

a) O-LEVEL
Tunauza jumla, na sio topic moja moja au kidato kimoja kimoja, yaani tunauza somo moja zima kwa vidato vyote.
Kwa mfano: Geography nzima (form one hadi form four)
Na masomo mengine yote kwa o-level yatauzwa kwa mfumo huo
Bei kwa sasa ni Tsh. 10,000/=


b) A-LEVEL
Tunauza notes jumla za somo moja kwa kwa kidato kimoja kwa Tsh. 10,000/ kwa masomo yote, 

Jinsi ya Kupata Notes
Notes hizi utarushiwa kwa njia ya email baada ya wewe kuwa umelipa pesa kwa njia ya simu, hakikisha una email ambayo inafanya kazi. Utaipiga hiyo namba hapo chini kumtaarifu muuzaji wetu.

NB: Zoezi hili la uuzaji wa Notes litafanyika ndani ya wiki moja tu kuanzia tarehe 13/11/2019 hadi 20/11/2019
0719 521710
EmoticonEmoticon